R.I.P Dkt Abdallah Omar Kigoda. |
Taarifa
iliyoripotiwa muda mfupi uliopita na kuthibitishwa na Serikali inasema
Waziri Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah
Omar Kigoda ambaye alikuwa na pia alikuwa Mbunge wa
Jimbo la Handeni Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM amefariki Dunia.
Taarifa hiyo inasema kuwa Dr.Abdalah Kigoda amefariki dunia nchini India majira ya saa
kumi jioni leo wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Appolo
nchini India.
No comments:
Post a Comment