Yapigwa bao 1-0.
Foul ilipigwa na Malimi Bushungu ikamshinda Ivor Mapunda na kumkuta Fully Maganga akaukwamisha nyavuni mnamo dk ya 30 kipindi cha kwanza.
"Hatuamini" Wachezaji wa benchi wa Simba Sc Yaw Berco,Ibrahin Humud,Uhuru Selemen na Henry Joseph |
Kocha wa Simba Zdraco Logarisic akishuhudia Simba ikibanwa mbavu na Mgambo |
Mgambo Shootinga wakisangilia Bao |
Fully Maganga akizungumza na Wanahabari (Wahapo Pichani) |
"Aliyeiua Simba" Striker wa Mgambo Shooting Fully Maganga |
Mgambo wakipongezana baada ya Mchezo |
Kocha Loga akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya Mchezo |
Mashabiki wa Mgambo wakiondoka ndani ya jiji la Tanga kwa Shangwe |
No comments:
Post a Comment