|
HILI NDILO LANGO KUU LA KUINGILIA UWANJANI HAPO PEMBENI NI VYOO VIKIWA KATIKA HALI MBAYA |
|
HII NI SEHEMU YA NYUMA YA GOLI AMBAPO NYASI NA VICHAKA VIMETAWALA |
Uwanja huu hutumiwa kwa Mechi za Ligi ya Taifa ngazi ya Mkoa na Wilaya hasa kwa timu za Halmashauri Fc na Mkanyageni Fc zote za Wilayani humo.
Kwa sasa unamilikiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI CCM Wilaya ya Muheza
|
PEMBENI YA DIMBA KUKIWA HAKUNA NYASI "ZIMEKAUKA" BAADHI YA WADAU WAMEKUWA WAKILALAMA KUWA KUNA WATU HUJIFUNZIA KUENDESHA MAGARI KATIKA IWANJA HUU |
|
KATIKATI YA DIMBA KAMA BARABARA YA VUMBI VILE |
|
BAADHI YA SEHEMU KUTA ZIMEBOMOKA KABISA |
|
HIKI NI MOJAWAPO YA VYUMBA VYA KUBADILISHIA NGUO KWA WACHEZAJI KAMA GOFU LA KALE |
|
|
No comments:
Post a Comment