MATOKEO:
Jumapili, 26
Januari 2014
JKT Ruvu 3
Mgambo JKT 2
Simba 1 Rhino
Rangers 0
++++++++++++++++++++++++
Katika Mechi za ligi kuu ya Soka Tanzania Bara mwishoni mwa wiki iliyopita Yanga ,Simba,Mbeya City na Azam zilianza vyema mzunguko wa pili Ambapo Simba jana iliichapa Rhino Rangers ya
Tabora Bao 1-0 kwenye Mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Bao la ushindi
la Simba lilifungwa Ramadhani Yahya Singano ‘Messi’ katika Dakika ya 14 lakini
Mchezaji huyo anaeng’ara hivi sasa aliikosesha Simba ushindi wa uhakika
alipokosa kufunga Penati katika Dakika ya 70.
Penati hiyo
ilitolewa baada Ladislaus Mbogo kuushika Mpira ndani ya Boksi.
Ushindi huu
umeifanya Simba wajizatiti Nafasi ya 4 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Mbeya City na
Azam FC, zenye Pointi 30 kila mmoja, lakini Azam FC wako juu kwa ubora wa
Magoli huku Yanga wakiwa kileleni wakiwa na Pointi 31.
Michezo
mengine iliyochezwa kwenye ligi hiyo ni mnamo Jan 25 Ashanti United walicheza
na Yanga ambapo mpaka dakika 90 Yanga 2-1 Ashanti United.
Mabao ya
Yanga yakifungwa na Didier Kavumbangu na David Luhende dakika ya 51 na 82 na la
Ashanti United limefungwa Bright Obinna dakika ya 61
Kwenye
dimba la Chamazi,Azam Fc waliibika na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar
bao likifungwa na Kipre Tchetche.
Hali
kadhalika Mbeya City nao waliibuka na ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar
kwenye dimba la soka Katiba Bukoba bao hilo likifungwa na Swita Julius
Ligi itaendelea
tena Jumatano kwa Mechi 4 na Mechi ya mvuto ni ile ya Mkwakwani, Tanga kati ya
Coastal Union na Mabingwa Watetezi, Yanga.
RATIBA:
Jumatano
Januari 29
Kagera
Sugar v Mtibwa Sugar [Kaitaba, Bukoba]
Azam
FC v Rhino Rangers [Azam Complex, Dar es Salaam]
Ruvu
Shooting v Mbeya City [Mabatini, Mlandizi]
Coastal
Union v Yanga [Mkwakwani, Tanga]
Jumamosi Februari 1
Ashanti
United v Mgambo JKT [Azam Complex, Dar es Salaam]
Simba
v JKT Oljoro [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
Jumapili Februari 2
Yanga
v Mbeya City [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
MSIMAMO:
NO
|
TEAMS
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
1
|
Young Africans
|
14
|
9
|
4
|
1
|
33
|
12
|
21
|
31
|
2
|
Azam FC
|
14
|
8
|
6
|
0
|
24
|
10
|
14
|
30
|
3
|
Mbeya City
|
14
|
8
|
6
|
0
|
21
|
11
|
10
|
30
|
4
|
Simba SC
|
14
|
7
|
6
|
1
|
27
|
13
|
14
|
27
|
5
|
Kagera Sugar
|
14
|
5
|
5
|
4
|
15
|
11
|
4
|
20
|
6
|
Mtibwa Sugar
|
14
|
5
|
5
|
4
|
19
|
18
|
1
|
20
|
7
|
JKT Ruvu
|
14
|
6
|
0
|
8
|
13
|
18
|
-5
|
18
|
8
|
Coastal Union
|
14
|
3
|
8
|
3
|
11
|
8
|
3
|
17
|
9
|
Ruvu Shootings
|
13
|
4
|
5
|
4
|
15
|
15
|
0
|
17
|
10
|
Rhino Rangers
|
14
|
2
|
5
|
7
|
9
|
17
|
-8
|
11
|
11
|
JKT Oljoro
|
14
|
2
|
5
|
7
|
10
|
11
|
-10
|
11
|
12
|
Ashanti United
|
14
|
2
|
4
|
8
|
13
|
26
|
-13
|
10
|
13
|
Tanzania Prisons
|
13
|
1
|
6
|
6
|
6
|
16
|
-10
|
9
|
14
|
Mgambo JKT
|
14
|
1
|
3
|
10
|
5
|
26
|
-21
|
6
|
No comments:
Post a Comment