HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Wednesday, 29 January 2014

TAZAMA KINACHO ENDELEA LIGI KUU Tz BARA BAADA YA MECHI ZA JANA JAN2 9



VPL: AZAM YAISHUSHA YANGA KILELENI!!
MATOKEO:
Jumatano Januari 29
Kagera Sugar 0 Mtibwa Sugar 0
Azam FC 1 Rhino Rangers 0
Ruvu Shooting 1 Mbeya City 1
Coastal Union 0 Yanga 0
++++++++++++++++++++++++
Azam FC hapo jana imeitoa Yanga kwenye kilele cha VPL, Ligi Kuu Vodacom, ilipoifunga Rhino Rangers Bao 1-0 huko Azam Complex na Yanga kutoka Sare ya 0-0 na Coastal Union huko Mkwakwani Jijini Tanga.

Bao la ushindi la Azam Fc lilifungwa na Kipre Tchetche katika Dakika ya 26.

Huko Mabatini, Mlandizi, Ruvu Shooting na Mbeya City zilitoka Sare ya Bao 1-1 kwenye Mechi ambayo Ruvu walifunga mwanzo katika Dakika ya 4 kwa Bao la Jerome Lambele na Mbeya kusawazisha Dakika 9 baadae kupitia Jeremiah John.
Matokeo yameifanya Azam Fc ishike usukani ikiwa na Pointi 33, Yanga Nafasi ya Pili, Pointi moja nyuma na Mbeya City wako nyuma ya Yanga kwa Pointi 1 huku Timu zote zimecheza Mechi 15.
RATIBA:
Jumamosi Februari 1
Ashanti United v Mgambo JKT [Azam Complex, Dar es Salaam]
Simba v JKT Oljoro  [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
Jumapili Februari 2
Yanga v Mbeya City [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]

MSIMAMO:
NO
TEAMS
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Azam FC
15
9
6
0
25
10
15
33
2
Young Africans
15
9
5
1
33
12
21
32
3
Mbeya City
15
8
7
0
22
12
10
31
4
Simba SC
14
7
6
1
27
13
14
27
5
Kagera Sugar
15
5
6
4
15
11
4
21
6
Mtibwa Sugar
15
5
6
4
19
18
1
21
7
Coastal Union
15
3
9
3
11
8
3
18
8
Ruvu Shootings
14
4
6
4
16
16
0
18
9
JKT Ruvu
14
6
0
8
13
18
-5
18
10
Rhino Rangers
15
2
5
8
9
18
-9
11
11
JKT Oljoro
14
2
5
7
10
11
-10
11
12
Ashanti United
14
2
4
8
13
26
-13
10
13
Tanzania Prisons
13
1
6
6
6
16
-10
9
14
Mgambo JKT
14
1
3
10
5
26
-21
6

No comments:

Post a Comment