Fabregas |
>>ATLETICO YASHINDWA KUTWAA UONGOZI LA LIGA
ESTADI CIUTAT DE VALENCIA, Jijini Valencia, Usiku huu ilishuhudia Levante, Timu iliyochapwa Bao 7-0 huko Nou Camp kwenye Mechi ya Kwanza ya La Liga Msimu huu, ikigangamala na kuwafanya Mabingwa na Vinara wa Ligi, FC Barcelona, wahahe na kupata suluhu ya Bao 1-1.
Levante ndio walitangulia kupata Bao katika Dakika ya 10 kwa Bao la Vyntra na Gerard Pique kuisawazishia Barca katika Dakika ya 19.
Matokeo haya bado yameibakisha Barca kileleni baada ya Atletico Madrid kushindwa kuifunga Sevilla,hivyo sasa Barcelona na Atletico Madrid ziko mbele ya Real Madrid kwa Point 1 tu.
VIKOSI VILIVYOANZA:
Levante: Keylor, Navas, Navarro, Vyntra, El Zhar, Ruben, Juanfran, Nikos, Lopez, Ivanschitz, Diop y Simao.
Barcelona: Valdes, Montoya, Pique, Mascherano, Alba, Xavi, Busquets, Fabregas, Pedro, Messi, Alexis.
LA LIGA:
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
FC
Barcelona |
20 |
16 |
3 |
1 |
54 |
13 |
41 |
51 |
3 |
Atletico
Madrid |
19 |
16 |
2 |
1 |
47 |
11 |
36 |
51 |
2 |
Real
Madrid CF |
20 |
16 |
2 |
2 |
58 |
21 |
37 |
50 |
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Ijumaa Januari 17
Malaga CF 0 Valencia 0
Jumamosi Januari 18
Real Betis 0 Real Madrid 5
Elche CF 2 Rayo Vallecano 0
Granada CF 0 Osasuna 0
RCD Espanyol 1 Celta de Vigo 0
Jumapili Januari 19
Getafe CF 2 Real Sociedad 2
Villarreal CF 2 UD Almeria 0
Levante 1 FC Barcelona 1
Atletico de Madrid 1 Sevilla FC1
No comments:
Post a Comment