HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Sunday, 19 January 2014

CHAN 2014: WENYEJI SOUTH AFRICA NJE, NIGERIA, MALI ROBO FAINALI!



>>JUMATATU MWISHO KUNDI B: UGANDA KUSONGA??
WENYEJI wa CHAN 2014, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya Nchi zao, South africa leo wamechapwa Bao 3-1 na Nigeria Mjini Cape Town katika Mechi ya mwisho ya Kundi A na kutupwa nje.
Bao za Nigeria zilifungwa na Uzoenyi, Bao 2, na Penati ya Ede huku South Africa wakifunga kwa Penati ya Bernard Parker.

Katika Mechi nyingine ya Kundi A, Mali walitoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuichapa Mozambique Bao 2-1 kwa Bao za Sidibe na Traore na Mozambique kufunga kupitia Josemar.
 
Matokeo haya yamezifanya Mali, ambao ndio Washindi wa Kundi A, na Nigeria, ambao walianza kwa kufungwa na Mali, wasonge Robo Fainali na Wenyeji South Africa kutupwa nje.
Jumatatu Kundi B zitacheza Mechi zao za mwisho kwa Burkina Faso kupambana na Zimbabwe na Morocco kucheza na Uganda huku Timu zote, kimahesabu, zikiwa na Nafasi kuwa kwenye mbili zitakazotinga Robo Fainali ingawa kwa Uganda Sare tu ni bora kwao.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mali
3
2
1
0
5
3
2
7
2
Nigeria
3
2
0
1
8
6
2
6
3
South Africa
3
1
1
1
5
5
0
4
4
Mozambique
3
0
0
3
4
9
-5
0
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Uganda
2
1
1
0
2
1
1
4
2
Zimbabwe
2
0
2
0
0
0
0
2
2
Morocco
2
0
2
0
1
1
0
2
4
Burkina Faso
2
0
1
1
2
3
-1
1
KUNDI C
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Libya
2
1
1
0
3
1
2
4
2
Ghana
2
1
1
0
2
1
1
4
3
Congo
2
1
0
1
1
1
0
3
4
Ethiopia
2
0
0
2
0
3
-3
0
KUNDI D
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Burundi
2
1
1
0
3
2
1
4
2
Gabon
2
1
1
0
1
0
1
4
3
Congo DR
2
1
0
1
1
1
0
3
4
Mauritania
2
0
0
2
2
4
-4
0
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
VIWANJA:
CAPE TOWN:
-Cape Town Stadium
-Athlone Stadium
MANGAUNG/Bloemfontein
-Free State Stadium
POLOKWANE
- New Peter Mokaba Stadium
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Ijumaa, Kundi C litacheza Mechi zake mbili huko Mangaung, Bloemfontein Uwanjani Free State Stadium kwa Ghana kucheza na Libya na kufuatia Ethiopia v Congo.

CHAN 2014
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]

Jumamosi Januari 18
Congo DR 0 Gabon 1
Burundi 3 Mauritania 2

Jumapili Januari 19
Nigeria 3 South Africa 1
Mozambique 1 Mali 2

Jumatatu Januari 20
2000 Burkina Faso v Zimbabwe [Athlone Stadium]
2000 Morocco v Uganda [Cape Town Stadium]

Jumanne Januari 21
2000 Ethiopia v Ghana [Free State Stadium]
2000 Congo v Libya [Peter Mokaba Stadium]

Jumatano Januari 22
2000 Burundi v Congo DR [Peter Mokaba Stadium]
2000 Mauritania v Gabon [Free State Stadium]

No comments:

Post a Comment